loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • ofa ya bao

  img

  Zantel inawawezesha wateja wake kunufaika kwa kuendelea kuwaunganisha. Tunawawezesha wateja wetu kunufaika na kifurushi hiki. Kunufaika katika maeneo yao ya kazi. Kunufaika katika mahusiano yao. Kunufaika katika biashara zao, kunufaika katika vitu wapendavyo kufanya na maisha ya kila siku kwa ujumla. Hijalishi jinsi ilivyo, tunawahabarisha kwamba Zantel ipo kwa ajiri ya kuwasaidia wao kunufaika. Huu ndio umuhimu wa BAO!

  • Ofa ya BAO inapatikana kupitia *149*15# tu.
  • Ofa ya BAO inapatikana mikoa yote ya Tanzania Bara.
  • Wateja za Zantel Zanzibar hawataona ofa hii.  • Ofa ya BAO ya SAUTI katika mikoa ya Dar,Tanga na Pwani itadumu kwa siku 7.
  • Ofa ya BAO ya INTANETI katika mikoa ya Dar,Tanga na Pwani itadumu kwa siku 3.
  • Ofa ya BAO ya SAUTI na INTANETI katika mikoa mingine ya Tanzania Bara tofauti na iliyotajwa hapo juu, itadumu kwa siku 30.
  bando tofauti tofauti
  maswali ya mara kwa mara
  vigezo na masharti