loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • img

  Zantel yarahisisha upatikanaji wa huduma kupitia duka jipya Pemba

  • Nov 23, 2020 12:04
  Katika azma yake ya kuhakikisha huduma za mawasiliano zinakuwa za uhakika, Kampuni ya Zantel imezindua duka jipya ambalo litawasaidia wakazi wa kisiwa cha Pemba kupata huduma kwa urahisi zaidi.   Awali duka hilo lilikuwa katika eneo la Wete Sokoni na sasa limehamishiwa eneo la Pemba Four Ways ambako ni rahisi zaidi kufikika kwa wateja. &nbs...
  soma zaidi
  img

  Wateja wa Zantel kulipia bili za maji kwa Ezypesa

  • Sep 26, 2020 08:51
  Hatua hiyo itaongeza urahisi wa malipo huku ikiongeza ufanisi wa mamlaka ya maji katika utoaji wa huduma.   Kwa sasa wateja wa Zantel wanaweza kuipia bili za maji kiurahisi zaidi kwa njia ya Ezypesa baada ya kampuni hiyo kuingia ubia na Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA), mfumo wa kidigitali zaiid wa kufanya malipo.   Hatua hiyo itaongez...
  soma zaidi
  img

  Makabidhiano ya mkataba wa kuunganishwa kwenye mkongo wa Taifa

  • Aug 21, 2020 18:43
  Naibu Waziri wa Mawasiliano na Usafirishaji wa Zanzibar, Mohammed Ahmada akishuhudia makabidhiano ya mkataba wa kuunganishwa kwenye mkongo wa taifa  kati ya Pemba na Tanga kuboresha mawasiliano kisiwa cha Pemba kati ya Mkuu wa Zantel-Zanzibar, Mohammed Mussa (Kulia) na Mkurugenzi wa Wakala wa Miundombinu ya Mawasiliano (Tehama), Mhandisi Shuku...
  soma zaidi
  img

  Wateja wa Zantel kununua tiketi za boti za ZanFast Ferries kwa Ezypesa

  • Aug 21, 2020 18:02
  Wateja wa Zantel wataweza kununua tiketi za usafiri wa boti za ZanFast Ferries kwa urahisi zaidi kwa kulipa kwa Ezypesa baada ya kampuni hiyo kuingia ubia na Kampuni ya usafirishaji ya Vigor Group ambayo inamiliki boti za ZanFast Ferries ili kuboresha huduma za ukataji tiketi kwa wateja wao.  Kampuni hiyo ni moja ya watoa huduma za usafiri wa...
  soma zaidi