img

Zantel yatangaza muunganiko wao na Tigo

  • Jan 25, 2020 09:55
Kampuni ya simu za mkononi Zanzibar Telecom Public Limited Company (Zantel), leo, imetangaza kukamilika kwa mchakato wa kuungana na kampuni ya MIC Tanzania Public Limited Company (Tigo). Hii ni baada ya kupokea idhini kutoka mamlaka husika na sasa kampuni hizi mbili zinaungana na kuwa kampuni moja Tanzania Bara na Visiwani. Akizungumzia juu ya...
soma zaidi
img

ZANTEL YAZINDUA OFA YA MFUNGO WA RAMADHANI

  • Dec 17, 2019 15:19
Kampuni ya mawasiliano ya Zantel, leo imezindua ofa maalum ya mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa wateja wake, ambayo itawawezesha kufanya mawasiliano kwa gharama nafuu sambamba na kupata taarifa muhimu kuhusiana na kipindi cha mfungo. Akitangaza ofa hiyo mjini Zanzibar, mwishoni mwa wiki, Afisa Mwandamizi wa Mawasiliano na Habari wa Zantel, Rukia Mting...
soma zaidi
img

Zantel yajizatiti kuendelea kubadilisha maisha ya Watanzania kupitia ubunifu wa matumizi ya teknolojia

  • Dec 17, 2019 15:08
Bila kujali sehemu gani ya ulimwengu unayoishi, mawasiliano ni kitu cha muhimu katika  maisha ya kila siku, yanawezesha kuunganisha watu. Matumizi ya simu yanafanikisha kuanzia kuwasiliana na marafiki na familia pia ni kifaa kinachorahishia pia shughuli za  kibiashara na matumizi mengineyo mengi ya  kupata huduma mbalimbali zinazohit...
soma zaidi
img

Zanzibar

  • Dec 12, 2019 15:21
Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohammed Khamis Mussa, akiongea na baadhi ya wanachama wa SACCOS ya Meli Nne wakati wa semina kuhusiana na kutambua dalili za ugonjwa wa satarani ya matiti iliyoandaliwa na SACCOS hiyo na kufanyika mjini Zanzibar jana, (kulia) ni Afisa kitengo cha maradhi yasioambukiza kutoka Wizara ya Afya Zanzibar, Zuhura Saleh
soma zaidi

Habari za Karibuni

habari kutoka twitter