loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • Kuunganishwa na Tawi

  img

  Huduma za Zantel ya mwasiliano kwa MPLS inawezesha usalama wa mawasiliano ya data kati ya maeneo yote nchini kote au kimataifa kwa mifumo ya ndani ya kiteknologia kama vile ERP, barua pepe, intaneti nk.

  Intaneti binafsi intakupatia wewe intaneti bila kikomo kwenye eneo lako, inawapatia wafanyabiashara gharama nafuu na kuhakikisha uhusiano na makampuni yanayo toa huduma za intaneti. Utendaji wa hali ya juu, wa kuaminika na gharama nafuu. Gharama za mtandao za kutabirika kutoka kwenye kiwango kimoja cha ushuru rahisi. Inatoa msongamano, mtandao wa moja kwa moja ulio salama na wa kudumu.

  Itawezesha vyombo vya habari kwa matumizi ya sauti na video.

  Faida Muhimu

  • Upatikanaji wa kuunganishwa kukiruhusu maeneo makubwa kufikiwa na kufanya huduma za intaneti zipatikane sehemu nyingi.
  • Kusimamiwa kikamilifu (mwisho-mwisho) QoS.
  • Upatikanaji wa hali ya juu wa kuunganishwa kwa umbali.
  • Chaguo mbali mbali zenye uhakika.
  • Rahisi kwa wateja kubuni ili kuongeza maeneo ya ziada na kuanzisha huduma mpya.
  • Viwango vinavyoweza kubadilishwa kuanzia maeneo madogo ya tawi mpaka kiwanda kikubwa.
  • Kuunganishwa ncha kwa ncha (kwa kutumia hali yetu ya sanaa kwa mtandao wa MPLS ) kwa kutumia nyuzi au Microwave kuunganishwa.
  • Salama na binafsi.