- Kutuma ujumbe mara nyingi kwa mara moja kwa walengwa mbalimbali (watumiaji wa Simu).
- Panga namba katika makundi kwa kurahisisha urahisi wa kutuma ujumbe.
- Kutuma ujumbe uliokwisha andaliwa awali.
Sambamba na huduma mpya ya Zantel ya kusambaza SMS, makampuni madogo na ya kati ya biashara nchini Tanzania sasa wana fursa ya kuwasiliana na wateja wao, wafanyakazi na wauzaji na kuwatumia ujumbe wa SMS kutoka kwenye programu wa mtandao unaotumia intaneti. Ni kwa haraka, urahisi, gharama nafuu na rahisi kutumia na inahitaji tu kujiunga na huduma ya intaneti.
Huduma inapatikana kama mteja wa kompyuta ya mezani (ittumiayo mtandao), ambayo inatoa kitabu kimoja cha anwani ambayo inaweza kupatanishwa katika matumizi mbali mbali yanayokuwezesha wewe kusimamia mawasiliano yote. Unaweza kupata mawasiliano yako , kurekebisha au kutuma ujumbe kwa awamu kutoka kwenye komputa yako ya mezani au unapokuwa na huduma ya intaneti muda wowote.
Programu iliopo tayari hauhitaji vifaa yoyote au elimu ya kiufundi.