Jiunge na vifurushi vyetu vizuri vya Dakika, Sms Na Intaneti.
Jiunge na vifurushi vyetu vizuri vya SMS Tu.
Jiunge na vifurushi vyetu vizuri vya Intaneti Tu.
Angalia modeli za Vifaa vyetu vya bei nafuu kutoka katika maduka yetu
Angalia vifurushi vya ofa zetu nzuri.
Ezpesa ni huduma ya kifedha inayomwezesha mteja wa Zantel kutuma na kupokea fedha.
Angalia vifurushi na mipango ya huduma kutegemea na matumizi utakayo.
Wasiliana na timu yetu nzuri ya Mauzo.
Angalia taarifa ya maswali mbalimbali ya vifurushi vya Zantel.
Angalia maeneo yalipo maduka ya Zantel.
Wasiliana na Timu yetu ili kupata huduma.
Angalia mpangilio wa huduma binafsi zilizopo.
Intaneti Binafsi ni huduma inayokupa intaneti yenye kasi kubwa yenye uwezo mkubwa usio na kikomo masaa 24 kwa siku.
Na Intaneti Binafsi utafurahia intaneti ya kasi zaidi kuanzia Mbps 1.
Zantel inakupa garantii ya kukusafirishia vifaa na kuvifunga pamoja na msaada wa kiteknolojia na usimamizi.
Wasiliana na huduma ya Biashara ya Zantel ambapo utajaza fomu ya kuweka oda ya huduma ya Intaneti Binafsi.