loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • Uwajibikaji Kijamii

  Uwajibikaji wa kijamii inahusiana na jinsi biashara inavyojiongoza yenyewe kuhusiana na shughuli zake zote ikiwemo jinsi ya kufanya kazi kimaadili na kihaki katika kudili na wadau wote pia kuleta mabadiliko endelevu katika jamii inayoihudumia.

  Dira yetuya majukumu ya kampuni kwa jamii ni kutengeneza uchumi enedelevu na matokeo ya kijamii bila kipingamizi chochote.

  Dhamira yetu ya majukumu kwa jamii ni kupanua ufikiaji wa watu wa Tanzania kwa kutoa bidhaa na huduma za kijamii na za kuwajibika. Kuwezesha ukuaji endelevu kupitia miradi yetu kwenye maeneo yenye vipaji, msaada wa jamii, Elimu, Afya na kujenga mahusiano mazuri na wadau wetu kupitia ushiriki.

  img

  Programu za Msaada Kwa Jamii

   Zantel inaendelea kuisaidia jamii kupitia programu yake ya msaada kwa jamii

  • Zantel inaendelea kusaidia jamii kupitia ratiba zake za kutoa msaada kwa jamii. Zantel inatoa mchango wa vitabu inayogharimu TZS Millioni 10 katika huduma za maktaba Zanzibar (ZLS) kwa ajiri ya kukuza Elimu na kuwezesha kuwafikia watumiaji wengi wa maktaba kupata taarifa kidijitali visiwani.
  • Zantel imetengeneza madarasa kwa walemavu wa macho na kuchangia maktaba inayogharimu millioni 20 katika shule ya msingi ya Kisiwandui Unguja.kumu ya kampuni ya kijamii.