loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • midundo

  img

  Sikiliza nyimbo uzipendazo pale unapopiga simu, piga 15323 kujiunga. Utalipia 30 TZS/Siku. Pata midundo mizuri pale unapopigiwa simu, piga 15098 na chagua 1 kujiunga. Utalipia 65 TZS/Siku.

  maudhui ya dini

  img

  Jiunge na Zantel Madrasa upokee Quran, hadith, Qaswida, Dua, Mawaidha na mengine mengi moja kwa moja kwenye simu yako. Kujiunga, Piga 15586 na kufata maelekezo au Tuma neno SUB kwenda 15586.

  Huduma ya Zantel Madrasa ni huduma ya kwanza kuzinduliwa na mtandao wa simu nchini Tanzania, katika kufundisha dini na kuunganisha watu kujifunza dini nchini. Hii huduma inatoa nafasi kwa Waislamu wote kuunganishwa kupitia kodi za huduma maalum kwenye mtandao wa Zantel, hivyo inaruhusu wateja kupata mafundisho wa dini kila siku.Kujiunga, Piga 15586 na kufata maelekezo au Tuma neno SUB kwenda 15586.

  Makato ya kujiunga ni Tsh 250 kwa Wiki.

  gundua tanzania

  img

  Fahamu mengi zaidi kuhusu nchi ya Tanzania kiganjani mwako iwe kwa unahitaji Usafiri, Hoteli, Hospitali, Burudani, na mengi zaidi. Zantel ndio mtandao pekee kukupa yote haya ili ugundue mengi zaidi yanayojiri.

  Kupata taarifa kuhsu wapi na Kipi unachohitaji kugundua, hakikisha una laini ya Zantel na piga 15582 kisha fuata maelekezo.