EzyPesa ni huduma ya pesa kwa njia ya simu inayowawezesha wateja wa Zantel kutuma, kupokea, kuweka, kutoa, kulipia bili au huduma, kununua vifurushi au muda wa maongezi kwa kutumia pesa ilioko kwenye simu ya mkononi ilioko kwenye akaunti EzyPesa muda na wakati wowote.
Ndio, tembelea wakala yoyote wa EzyPesa ama duka lololte la Zantel ukiwa na kitambulisho chako (brua kutoka serikali za mtaa) kujisajili na akaunti ya EzyPesa.
Hapana, wateja wa Zantel tu ndo wanaoruhusiwa kujisajili na huduma ya EzyPesa.
Hapana, hauhitaji Akaunti ya benki kufunga akaunti ya EzyPesa.
Tembelea wakala yoyote wa EzyPesa kuweka pesa.
Customers can pay through MFS by dialing *150*02# and then selecting option number 5 - Payments. Customers can then select services or products they want to pay for.
Hakuna kikomo cha kuweza kubadilisha namba ya siri
Ndio, unaweza kupokea pesa kutoka kwenye akaunti binafsi ya benki kama umejiunga na Sim/internet banking kwenye benki yako.
Ndio, unaweza tuma pesa kutoka kwa akaunti yako ya EztPesa kwenda kwenye akaunti yako binafsi ya benki kama benki yako imetajwa katika huduma za EzyPesa.
Hapana, kutuma pesa sio bure.
Ndio, lakini utaweza kutuma kwa wateja wengine akaunti za EzyPesa zilizosajiliwa.
Ndio, ni bure kupokea kiasu chochote cha pesa.
Hapana, kutoa pesa sio bure.
Ndio, unaweza kutuma kwenda mitandao mingine.
Hapana, hakuna kiwango kidogo
Ndio, mteja aliyesajiliwa anaweza kuhifadhi mpaka TZS 5,000,000 kwenye akaunti ya EzyPesa.
Ndio, unaweza kufanya muamala mpaka TZS 3,000,000 kwa wakati moja na TZS 5,000,000 kwa siku.
Hapana, unatakiwa kuripoti mara moja huduma kwa wateja wa zantel ili akaunti yako ifungwe.
Ndio, unaweza kutumia EzyPesa bila muda wa maongezi.
Ndio, lazima uwe nayo HAKIKSHA kwamba haugawi namba ya siri kwa mtu yoyote.
Tembelea duka lolote za Zantel au piga 100 kwa huduma kwa wateja.
Tembelea duka lolote za Zantel au piga 100 kwa huduma kwa wateja.
Unaweza kubadili namba yako ya siri kupitia Ezypesa kwa kupiga *150*02#, (9)akaunti yangu, (2) badili namba ya siri.
Tembelea duka lolote la Zantel na kitambulisho chako.
Ndio, ni lazima kujiunga katika EzyPesa kama huna akaunti ya EzyPesa.
Tafadhali tembelea wakala yoyote wa karibu wa EzyPesa kwa kusajili ukiwa na kitambulisho chako chochote au Barua ya mwenyekiti wa mtaa au muajiri. Kumbuka kubadili neno la siri kabla ya kuanza kufanya miamala.
Ndio, tembelea wakala yeyote wa EzyPesa kwaajili ya kuweka kiwango ambacho kitakutosha kununulia Umeme.
Tafadhali wasiliana na huduma kwa Wateja ya Zantel, ili wakutumie ujumbe wenye TOKENI.
Piga *150*02# kwaajili ya Huduma ya EzyPesa, chagua Malipo kasha Umeme, chagua TUKUZA fuata hatua kwa hatua.
Itakubidi uwasiliane na ZECO.
Hapana haiwezekani
Itakubidi kuwasiliana na ZECO kwaajili ya Maelezo.
Hapana hakuna makato yoyote katika kulipia TUKUZA.
Kiwango cha chini kabisa cha TUKUZA ni 500, Lakini itategemeana na kiwango cha Mita yako.
Hivi ni vituo maalumu vinavyoweza toa huduma ya kuweka na kutoa pesa pamoja na usajili kwa wateja wa EzyPesa.
Wakala wa EzyPesa watakua na mabango maalumu yenye namba zao za uwakala.
Ndio, ni lazima kujiunga katika EzyPesa.
Ndio, ni lazima kufungua Akaunti na Benki ya PBZ ili upate Huduma ya benki katika EzyPea.
Kwa wateja wa EzyPesa Tembelea wakala yoyote wa karibu wa EzyPesa ukiwa na kitambulisho chako chochote au Barua ya mwenyekiti wa mtaa au muajiri, wakala atakusajili katika Huduma ya EzyPesa. Kumbuka kubadili neno la siri kabla ya kuanza kufanya miamala.
Ndio, ingia katika Huduma ya EzyPesa chagua namba moja kwaajili ya kutuma pesa, chagua kutuma kwenda katika Benki akaunti.
Hakuna makato katika kutuma pesa kutoka Benki kuja EzyPesa, lakini kuna makato kama utatuma pesa kutoka EzyPesa kwenda benki.
Ndio unaweza kuangalia salio la benki Kupitia Huduma ya EzyPesa.
Ndio unaweza kupata taarifa za kibenki za Akaunti yako kiupitia Huduma ya EzyPesa.
Miamala yote inayofanyika Kupitia Huduma ya EzyPesa itatumia neno la siri la EzyPesa, hivyo huhitaji kutumia neno la siri la Akaunti yako ya Benki.
Hapana haiwezekani, unaweza tu kutuma kwenda katika Akaunti yako ya EzyPesa iliyosajiliwa na Akaunti yako ya benki.
Hapana, hakuna makato yoyote katika usajili.
Ndio, hii inawezekana, ingia katika Huduma ya EzyPesa kwa Huduma hiyo.
Mteja atatakiwa Kutoa taarifa kwenye tawi lake la benki.