haba na haba
Haba na Haba ni huduma inayompa mteja wa Zantel fursa ya kulipia simu kidogo kidogo (kuwekesha) kuanzia kiasi kidogo tu cha Ths.1000/ na mara utakapo kamilisha gharama ya simu atafika duka la Zantel kuchukua simu yake ,vile vile ndugu jamaa na marafiki wanaweza kutuma chochote walicho nacho ili kukusaidia kulipia simu hii.
Ofa Zingine