- bando tofauti tofauti
- maswali ya mara kwa mara
- vigezo na masharti
-
ACQUISITION OFFER
BEI |
DAKIKA |
SMS |
INTANETI |
MAUDHUI |
TSH 1,000 |
130 |
300 |
MB 0 |
Siku 7 |
TSH 1,000 |
50 |
50 |
MB 500 |
Siku 7 |
TSH 1,500 |
20 |
20 |
MB 900 |
Siku 7 |
-
- Hii ni ofa maalum kwa ajili ya wateja wapya ,yaani wateja wanaojiunga na mtandao wa Zantel kwa mara ya kwanza
- Ofa hii inapatikana Zanzibar tu.
- Wateja wapya wa Bara hawataona ofa hii.
- Kujiunga piga *149*15#. Chagua Ofa Maalumu kwa Mteja Mpya.
- Kifurushi cha mteja mpya kudumu muda wa siku 7 na mteja mpya atafurahia ofa hii kwa muda wa siku 90.
- Endapo Mtumiaji atafikia asilimia 75% au 100% ya Matumizi atatumiwa ujumbe wa Kumtaarifu anunue bando tena kabla ya kifurushi kuisha au kuruhusu matumizi ya kawaida.
- Kama mteja atajiunga na kifurushi hicho hicho kabla ya muda wa hicho kifurushi kuisha, MB/GB/MINUTES/SMS zilizobakia zitajumlishwa kwenye MB/GB /MINUTES/SMS za kifurushi kipya na muda wa kutumika utakuwa wa hiki kifurushi kipya.
- Matumizi ya MB/GB/VOICE/SMS alizonunua mteja ni kulingana na mahitaji au matumizi ya mteja mwenyewe, kwa hivyo mteja anaweza kumaliza bando yote kabla ya kipindi cha bando kuisha, hivyo basi ikiwa kifurushi chake kitaisha, mteja anaweza kuruhusu salio kuu litumike au kusitisha huduma.
- Mteja anaweza kuruhusu salio kuu litumike baada ya bando kuisha kwa kupiga *149*15# kisha achague namba 7 huduma kwa wateja na kisha namba 3 na afuatishe maelekezo.
- Ikitokea mteja hajafanya chaguo lolote la bando na akawa amemaliza kifurushi chake, huduma itasitishwa mpaka pale mteja atakapochagua kukatwa kwenye salio kuu kama au kununua kifurushi kingine.
- Bei za vifurushi hivi ziko pamoja na kodi
-