loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • Z - PLUS inahusu nini?

  img

  Z Plus ni mpango mpya wa Zantel unaolenga kuwatambua, kuwazawadia na kuwapa huduma ya upendeleo wateja wetu wa thamani ya juu wa Z Plus.

  Huduma hii inapatikana Zanzibar pekee, mpango huu ni kwa wateja waliochagulia tu. Huduma za Z Plus zinapatikana ndani ya mipaka ya Tanzania tu. Mteja anatakiwa kuingia menyu kuu na kubonyeza *149*15*11# na chagua 7 - Akaunti yangu.

  Faida za Z - PLUS
  Vifurushi vya Z - PLUS
  vigezo na masharti
  maswali ya mara kwa mara
  • Bidhaa na Bei Zake

   • Ofa na Viwango Vizuri
   • Ofa za Simu Janja
   • Ofa Nzuri za Weekend

   Kujiunga

   • Ofa za wakati wa kumbukumbu ya Sikukuu ya Kuzaliwa na Maazimisho
   • Mialiko Maalumu

   Uzoefu wa Mawasiliano

   • Uzoefu wa Mtandao
  • zantel kwenda mitandao yote Vifurushi (BongaMpakabasi)

   BEI DAKIKA SMS INTANETI MUDA WA KUDUMU
   500 TZS 25 20 5 MB 24 HOURS
   1,000 TZS 85 50 20 MB 24 HOURS
   2000 TZS 220 100 50 MB 7 Days
   10000 TZS 1850 100 100 MB 7 Days
   10000 TZS 1300 200 200 MB 30 Days
   20000 TZS 2700 200 200 MB 30 Days

   intaneti tu Vifurushi

   BEI DATA MUDA WA KUDUMU
   TZS 500 250 MB 24 Hrs
   TZS 1000 1 GB 24 HOURS
   TZS 2000 3.5 GB 24 HOURS
   TZS 3000 3 GB 7 Days
   TSH 10000 13.5 GB 7 Days
   TSH 15000 25 GB 7 Days
   TSH 10000 10.5 GB 30 Days
   TSH 20000 23 GB 30 Days
   TSH 30000 30 GB 30 Days

   note:   Bei hazijumuishi kodi ya ongezekeo la thamani.

  • Vigezo na Masharti vinapatiakana katika huduma ya Zantel wateja wa thamani ya juu wa Z Plus, na ka kuchaguliwa na kwenye mpango utahitajika kusoma, kuelewa na kukubali.

   • Uwazi - Huduma ya Z Plus inapatikana kiurahisi kwa wateja wote wa Malipo ya kabla.
   • Zantel wanatunza haki ya kuchagua nani kujiunga na nani wa kumtoa kwenye huduma hii muda wowote bila taarifa.