- Inalindwa kupitia makubaliano na waendeshaji wakuu wa mfumo wa kable za mawaniro ya kimataifa.
- Ni bei nafuu, inaaminika na ina muungano mzuri katika miji tofauti ya Afrika na sehemu kuu za biashara duniani.
Uunganishwaji ulioenea unaoenda Ulaya, Asia na Amerika Kaskazini kupitia kable tofauti kama EIG, Reliance-FLAG, IMEWE na WACS. diverse onward connectivity to EUROPE, ASIA and NORTH AMERICA via various Cables such as EIG, Reliance-FLAG, IMEWE and WACS.