loader

Kuwa Mfanyabiashara atumiae Ezy Pesa

img

Kwa wateja wanaojiandikisha kuwa wafanyabiashara watumiao EzyPesa, unahitaji kuwa na nyaraka zifuatazo:

  • Maelezo ya bidhaa
  • Nakala iliyothibitishwa na cheti cha TIN
  • Nakala iliyothibitishwa ya Leseni ya Biashara
  • Mkataba ulihakikiwa wa Zantel EzyPesa
  • Company Article Of Association
  • Nyaraka ya Kampuni
  • Picha za Passport
  • Kianzio kisicho chini ya TZS 100,000.
  • Nakala ya Kitambulisho au Barua kutoka Serikali za Mtaa

Baada ya mkataba kuhakikiwa, uunganishaji na upimaji utafanyika kabla ya huduma kuanza.

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi