lipa bili

img

1. Piga *150*02# na chagua namba 5 - Malipo.

2. Chagua huduma ya kulipia kati ya zifuatazo.

 • TUKUZA
 • LUKU
 • ZCTV
 • AZAM TV
 • ZMUX

3. Baada ya kulipa, mteja anabidi aingize namba ya akaunti, kiasi na namba ya siri kuhakiki malipo. Sasa unaweza kulipa kodi mbalimbali za ZRB kupitia EzyPesa:

 • Leseni ya Udereva
 • Usajili wa Magari
 • Mhuri wa Forodha
 • Ongezeko la Kodi ya Thamani
 • Ushuru wa Hoteli
 • Ushuru wa Mgahawa