loader

Maudhui ya Kiislamu

filter_img

Jiunge na Zantel Madrasa upokee Quran,hadith,Qaswida,Dua,Mawaidha na mengine mengi moja kwa moja kwenye simu yako. Kujiunga, Piga 15586 na kufata maelekezo au Tuma neno SUB kwenda 15586.

Huduma ya Zantel Madrasa ni huduma ya kwanza kuzinduliwa na mtandao wa simu nchini Tanzania, katika kufundisha dini na kuunganisha watu kujifunza dini nchini. Hii huduma inatoa nafasi kwa Waislamu wote kuunganishwa kupitia kodi za huduma maalum kwenye mtandao wa Zantel, hivyo inaruhusu wateja kupata mafundisho wa dini kila siku.Kujiunga, Piga 15586 na kufata maelekezo au Tuma neno SUB kwenda 15586.

Makato ya kujiunga ni Tsh 250 kwa Wiki.