- Imeundwa in moduli ya mduara ili kable ikikatika, itapeleka taarifa mwelekeo mwingine na kwa sababu hii inajilinda na Protokoli hii MSTP.
- Ina husisha TDM, IP na huduma za SDH yenye msingi E1 mpaka STM-64.
- Sasa hivi uwezo wake wa juu ni STM-16 (2.5Gbps).
- Uwezo wa mtandao wa MSTP ni 5G uliolindwa na 20G usiolindwa.