loader

Kutumia Zantel Kimataifa

filter_img

Tunajihusisha kutoa huduma kwa wateja walio nje ya nchi ili kuwa na uwezo wa kujipatia huduma bora na za kiwango cha juu za GSM wanapokuwa mbali na nyumbani

  • Tunatoa bei nafuu
  • Tuna zaidi ya washirika 400 wa huduma za nje ya nchi wakiunganisha nchi 170 duniani kote.