loader

Zantel Huduma za kibinafsi.

img

Zantel inakuwezesha kupata huduma binafsi za taarifa kuhusu akaunti yako kwa urahisi na haraka. Kwa nini upige simu huduma kwa wateja au kwenda kwenye maduka ya zantel yaliyopo karibu yako wakati hakuna haja?

Angalia mpangilio wa huduma binafsi zinazo kuwezesha kupata taarifa mbali mbali za akauti yako

Namba za Huduma

namba maelekezo
*102# Kujua salio kuu,bonasi na mkop
*102*01# Salio la dakika
*102*02# Salio la SMS
*102*03# Salio la intaneti
*102*04# Salio la vifurushi vya kimataif
*102*05# Salio la bure ulilonalo