loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • kuunganishwa na mkonga wa kitaifa

  filter_img

  Mkonga wa Mawasiliano wa Kitaifa (NICTBB) ni mkonga wa mawasiliano inayosimamiwa na TTCL kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknologia. NICTBB inasaidia kuhudumia mahitaji tofauti.

  • Tumewekeza na mfumo huu ili ufike nchi za jirani na mtandao unaoenea nchi nzima. Inaweza kufikisha kasi ya hali ya juu na inasaidia kutumia faida za kable za mawaniro zinazo tua Dar es Salaam kwa kutoa kiwango kikubwa cha mkonga wa mawasiliano kutoka Tanzania kwenda Afrika na dunia nzima.
  • Tunaweza kukupa uwezo kuanzia E1 mpaka STM-64 kwenda nchi za jirani.
  • Upatakanaji upo Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia na Malawi.
  • Ina uwazi wenye njia kadhaa kutoka kwa mkonga kuelekea miji kadhaa.