loader

SMARTA

Ungana na ulimwengu wako, jiboreshe kutumia simu yenye Whatsapp, Facebook, Twitter, Youtube na uwezo wa 4G.

TAARIFA MUHIMU:

  • Simu hizi zinapatikana nchini kote katika maduka ya Zantel, washirika wa Zantel na wakala wa Zantel. Bei elekezi ya rejareja ni Tsh.39,999/=.
  • Simu hizi zinakuja na sehemu 2 za kuweka laini na zenye uwezo wa intaneti yenye kasi zaidi ya 4G.
  • Simu hizi zinakuja na Whatsapp, Facebook, Twitter, Youtube na Redio. Ina camera nzuri ya nyuma na betri lenye uwezo wa kudumu kwa zaidi ya masaa 16 baada ya kuchajiwa.
  • Hizi simu zinakuja na ofa ya GB 12 kwa mwaka mzima. Ambapo GB 1 kila mwezi.
  • Ofa ya mwezi wa kwanza itatolewa papo hapo punde ukinunua simu hii na kujiunga na mtandao wa Zantel.
  • Kupata ofa ya miezi mingine, hakikisha unaongeza salio la Tsh.1000 kila mwezi.
  • Kujiunga na vifurushi vya Intaneti, piga *149*15# na chagua namba 5..

Ofa zingine

Maduka ya Zantel yalipo

Jina la duka Mahali
Uwanja wa Ndege wa JK Nyerere Ndani ya Terminal 2 (Tafadhali tembelea Green booth)
Makao Makuu ya Zantel Mwai Kibaki road (karibu na Ubalozi wa Marekani)
Shoppers Plaza Kiosk Shoppers Plaza (karibu na barabara ya Mwai Kibaki)
City Mall Shop City Mall (Ghorofa ya chini mkabala na Maisha Supamaketi)
Vuga Barabara ya Vuga (karibu na Mahakama Kuu)
Mlandege Barabara za Mlandege na Malawi.
Wete Mtaa wa Bomani (karibu na kituo cha mabasi)
Chake Mtaa wa Kichungwani (karibu na hospitali ya Chake-Chake)