- Tunatoa bei nafuu
- Tuna zaidi ya washirika 400 wa huduma za nje ya nchi wakiunganisha nchi 170 duniani kote.
Tunajihusisha kutoa huduma kwa wateja walio nje ya nchi ili kuwa na uwezo wa kujipatia huduma bora na za kiwango cha juu za GSM wanapokuwa mbali na nyumbani