- Vifurushi vyote vinadumu kwa muda wa siku 30.
- Bei zote hazijumuishi na bei ya kodi ya ongezeko la thamani.
Mkataba wa Malipo ya Baada inakupa vifurushi vinavyokidhi haja zako. Utofauti wake katika huu mkataba ni kwamba inakuruhusu kupata huduma zaidi ya kifurushi ulichochagua na ukaokoa pesa nyingi kwenye viwango vya kawaida.
Unachokihitaji ni kutumia Intaneti ambayo ina spidi kubwa zaidi Tanzania. Nunua Modemu ya 4G au Simu zenye uwezo wa kupokea 4G Kutoka Zantel. Maisha ni rahisi ukiwa na Zantel 4G.
BEI (TSH) | DATA (MB) |
---|---|
1,600 | 100 |
4,800 | 500 |
8,000 | 1,024 |