loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • Ofa ya ramadhani

  filter_img

  Vifurushi hivi vinakupa muda wa Maongezi Zantel kwenda Zantel, SMS, Nukuu za Quran takatifu , SMS nyakati zote za sala za Fajir, Dhuhur, Alasir, Magharib na Ishaa zenye lengo la kujenga Imani yako na pia utapata ujumbe wa sauti wakati iftar inakaribia na mwisho wa kula Daku.

  Ramadhani itaanza tarehe 13th April and kumalizika tarehe 17th May

  1. Piga *149*15# kisha chagua 0 kujiunga.

  bando tofauti tofauti
  vigezo na masharti