- Wateja wa malipo ya kabla wanaweza kujiunga na huduma ya Maudhui ya Dini kwa kupiga SMS Bando kwa kupiga IVR namba 15586 au Tuma neno SUB kwenda 15586.
- Huduma hii inakupa Quran, hadith, Qaswida, Dua and Mawaidha kupitia kwenye simu yako.
- Mteja atakatwa kiasi cha Sh 250 utoka kwenye akaunti kuu na atapatiwa huduma hii kwa siku 7 kuanzia siku aliyojiunga.
- Mteja anaweza kujitoa wakati wowote kwenye huduma hii kwa kutuma neno ONDOA/UNSUB kwenda 15586.
- Endapo mteja akijitoa kabla ya 7 tangu kujiunga kwake salio lake halitarudi kwenye akaunti kuu yake.
- Mteja anaweza kuhama kutoka huduma moja kwenda nyingine (tarrif change) pamoja na huduma ya Maudhui ya Dini
- Mteja wa malipo ya kabla (Prepaid) mwenye bando la SMS akiamua kuhamia kwenye ya mwezi (Postpaid) atapoteza huduma hii.
Kwa kutumia huduma ya Maudhui ya Dini kutoka Zantel utakuawa umekubaliana na vigezo na masharti. Kila wakati unapatumia Maudhui ya Dini kutoka Zantel unakuwa umekubaliana na mabadiliko yoyote yatakayo tokea kwenye vigezo na masharti haya.
Malipo ya Kabla