- Hakuna sababu ya kununua laini nyingine unaposafiri nje ya Tanzania.
- Pata gharama nafuu zaidi kupiga simu, kuperuzi intaneti na kutuma SMS.
- Intaneti ni kwawateja wa malipo ya baada tu.
- Pata punguzo uwapo kwenye maongezi, intaneti na SMS ukiwa nje ya nchi.
- Vumbua gharama zetu nafuu za kupiga simu kimataifa na kuzuru zitazokuwezesha kutumia laini ya Vodacom bila wasiwasi utembeapo popote duniani.
- Zantel pamoja na washirika wake wa kimataifa, wamehakikisha vifurushi na gharama za kuzuru ni nafuu zinaazokidhi mahitaji yako ya kibishara na kitalii popote unapokwenda.
- Hakikisha una salio la kutosha kwenye simu yako. Hakuna kiasi maalum kinachotakiwa itategemea namna ya matumizi yako na bei ya mtandao husika.
- Huduma hii ni BURE na itaondolewa tu kama utaomba kwa kupiga tena Huduma kwa Wateja.
- Hakikisha una bando kwenye simu yako. Hakuna kiwango maalumu kinachohitajika. Hii inategemeana na mtandao utakaouchagua kupiga, kwa maelezo zaidi angalia jedwali la viwango vya kutumia Zantel nje ya nchi.
- Piga Hudumaa kwa Wateja 101 kwa msaada wowote ukiwa unazuru.
Jinsi ya kujiunga na huduma ya kuzuru Kimataifa