loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • huduma za kibinafsi

  img

  Zantel inakuwezesha kupata huduma binafsi za taarifa kuhusu akaunti yako kwa urahisi na haraka. Kwa nini upige simu huduma kwa wateja au kwenda kwenye maduka ya zantel yaliyopo karibu yako wakati hakuna haja?

  Angalia mpangilio wa huduma binafsi zinazo kuwezesha kupata taarifa mbali mbali za akauti yako.

  namba huduma
  *102# Kujua Salio Kuu, Bonasi na Mkopo
  *102*01# Salio la Dakika
  *102*02# Salio la SMS
  *102*03# Salio la Intaneti
  *102*04# Salio la Vifurushi vya Kimataifa
  *102*05# Salio la Bure Ulilonalo