loader

Laini Tuli ya Sauti img


Huduma za laini tuli ni mgongo wa biashara yoyote ikiwapatia mawasiliano ya ubora wa juu na yenye gharama nafuu. Kwa kawaida Tanzania siyo nchi ya laini tuli kwa sababu ya mapungufu ya miundombinu. Makampuni makubwa tu ndio yaliweza kupata kuunganishwa hivyo kujenga mtazamo kwamba ilikuwa biashara halali.

Zantel inatoa huduma ya laini tuli kwa namba zikianziwa na namba za awali +255 2XX XXX XXX kwa kutumia teknolojia ya bila kutumia waya. Kuipatia biashara yako uhalali inayohitaji kwa wanunuzi na wauzaji wako.

Zantel inatoa line tuli katika mikataba ya malipo ya kabla na ya baada.Huduma ya laini moja

Hii ni njia ya haraka na rahisi ya kupeleka ufumbuzi wa laini tuli. Teknolojia hii hutumia teknolojia ya CDMA na inapatikana kwenye mikoa yote mikuu nchini Tanzania.Vipengele
  • Haina vikwazo
  • Huduma za kuaminika.Faida
  • Gharama ndogo za kupiga simu za kitaifa na kimataifa.
  • Sauti yenye ubora wa hali ya juu.