loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • ofa ya smarta ofa

  Ungana na ulimwengu wako, jiboreshe kutumia simu yenye Whatsapp, Facebook, Twitter, Youtube na uwezo wa 4G.

  taarifa muhimu

  • Simu hizi zinapatikana nchini kote katika maduka ya Zantel, washirika wa Zantel na wakala wa Zantel. Bei elekezi ya rejareja ni Tsh. 39,999/=
  • Simu hizi zinakuja na sehemu 2 za kuweka laini na zenye uwezo wa intaneti yenye kasi zaidi ya 4G.
  • Simu hizi zinakuja na Whatsapp, Facebook, Twitter, Youtube na Redio. Ina camera nzuri ya nyuma na betri lenye uwezo wa kudumu kwa zaidi ya masaa 16 baada ya kuchajiwa.
  • Hizi simu zinakuja na ofa ya GB 12 kwa mwaka mzima. Ambapo GB 1 kila mwezi.
  • Ofa ya mwezi wa kwanza itatolewa papo hapo punde ukinunua simu hii na kujiunga na mtandao wa Zantel.
  • Kupata ofa ya miezi mingine, hakikisha unaongeza salio la Tsh.1000 kila mwezi.
  • Kujiunga na vifurushi vya Intaneti, piga *149*15# na chagua namba 5.
  mahali maduka yalipo
  vigezo na masharti