loader

Tuma na Pokea Pesa

img

1. Piga *150*02#.

2. Chagua Tuma pesa. Kisha utaona machaguo mawili: (i) Tuma kwenda namba ya simu or (ii) Tuma kwenda mitandao mingine. weka chaguo lako.

3. Ili kuweza kutuma pesa ingiza kiasi, namba ya simu na namba yako ya siri, kuhakikisha.