loader
 • English English
 • Swahili Kiswahili
 • bando la chuo

  img

  Furahia Bando la chuo kwa kupiga *148*05#.

  bando tofauti tofauti
  vigezo na masharti
  • VIFURUSHI VYA SIKU

   BEI DAKIKA (MITANDAO YOTE) SMS DATA MUDA WA KUDUMU
   TSH 500 20 20 200 MB Masaa 24
   TSH 500 245 MB Masaa 24

   VIFURUSHI VYA WIKI

   BEI DAKIKA (MITANDAO YOTE) SMS DATA MUDA WA KUDUMU
   TSH 500 1000 Siku 7
   TSH 1,000 130 300 Siku 7
   TSH 1,500 30 10 750 MB Siku 7
   TSH 2,000 30 1024 MB Siku 7
   TSH 2,000 1126 MB Siku 7

   VIFURUSHI VYA MWEZI

   BEI DAKIKA (MITANDAO YOTE) SMS DATA MUDA WA KUDUMU
   TSH 10,000 400 200 5120 MB Siku 30
   • Ofa hii inapatikana kwa wanafunzi wa chuo waliopo bara na Zanzibar.

   • Ofa hii inapatikana kupitia kodi fupi maalum (*148*05#).

   • Kwa wanafunzi wa Zanzibar lazima watoe maelezo maalum ya usajili wa kitambulisho cha chuo kwa muajiriwa wa Zantel (Afisa mauzo) kwa ajiri ya kuingiza namba ili waunganishwe na ofa za chuo.

   • Bara imefunguliwa kwa wanafunzi wote wa chuo.

   • Endapo Mtumiaji atafikia asilimia 75% au 100% ya Matumizi atatumiwa ujumbe wa Kumtaarifu anunue bando tena kabla ya kifurushi kuisha au kuruhusu matumizi ya kawaida.

   • Matumizi ya MB/GB/VOICE/SMS alizonunua mteja ni kulingana na mahitaji au matumizi ya mteja mwenyewe, kwa hivyo mteja anaweza kumaliza bando yote kabla ya kipindi cha bando kuisha, hivyo basi ikiwa kifurushi chake kitaisha, mteja anaweza kuruhusu salio kuu litumike au kusitisha huduma.

   • Customers can carry over benefits (MB/GB/MINUTES/SMS) if they enroll to the same bundle before the bundle expiry period so doing the remaining benefit will be carried forward and the new validity will take precedence.

   • Ikitokea mteja hajafanya chaguo lolote la bando na akawa amemaliza kifurushi chake, huduma itasitishwa mpaka pale mteja atakapochagua kukatwa kwenye salio kuu kama au kununua kifurushi kingine.

   • Mteja anaweza kuruhusu salio kuu litumike baada ya bando kuisha kwa kupiga *149*15# kisha achague namba 7 huduma kwa wateja na kisha namba 3 na afuatishe maelekezo.

   • Bei za vifurushi hivi ziko pamoja na kodi.