vifurushi vya intaneti

filter_img

Intaneti inatakiwa iwe yenye kasi na kwa bei rahisi.Ndo mana teknolojia yetu inafanya kazi kurahisisha intaneti kwenye simu yako. Lipia kidogo uperuzi zaidi kwa kuunganishwa na Intaneti yenye kasi zaidi na kwa bei rahisi.

Nunua kupitia Salio la Kawaida
Piga *149*15#

Nunua kupitia Ezypesa
Piga *150*02#

Vifurushi vya Mitandao ya Kijamii

BEI MB MUDA WA KUDUMU
TSH 500 500 MB Masaa 24
TSH 1,000 1.2 GB Siku 7
TSH 1,500 2.5 GB Siku 30

VIFURUSHI VYA SIKU

BEI (3G/4G) INTANETI (3G/4G) MUDA WA KUDUMU
TSH 500 MB 150 Masaa 24
TSH 1,000 MB 750 Masaa 24
TSH 2,000 GB 1.6 Masaa 24

VIFURUSHI VYA WIKI

BEI (3G/4G) INTANETI (3G/4G) MUDA WA KUDUMU
TSH 3,000 MB 700 Siku 7
TSH 5,000 GB 1.2 Siku 7
TSH 8,000 GB 2.5 Siku 7
TSH 12,000 GB 10 Siku 7

VIFURUSHI VYA MWEZI

BEI (3G/4G) INTANETI (3G/4G) MUDA WA KUDUMU
TSH 10,000 GB 1.5 Siku 30
TSH 15,000 GB 3 Siku 30
TSH 25,000 GB 7 Siku 30
TSH 35,000 GB 14 Siku 30

Vifurushi vya Usiku: Pata GB 2 kwa TZS 1,500

Kifurushi kikishaisha au muda wake kuisha, utalipa viawango vya kawaida mpaka utakaponunua kifurushi kingine.