loader

SMS

img

Zifuatazo ni taarifa za viwango ambazo pia zinaitwa "Lipa popote". Zinatumika hata kaama hujajiunga na kifurushi chochote.

  • SMS ya Kawaida: TZS 69
  • SMS ya Kimataifa: TZS 215
  • Gharama zote zimejumuishwa na kodi za Serikali

Jiunge na vifurushi bomba vya SMS

BEI SMS MUDA WA KUDUMU
300 100 Siku 1
500 100 Siku 7
3000 1500 Siku 30