viwango vya ezypesa

Viwango vya kutuma na kupokea pesa kwa wateja wa Ezypesa.

VIWANGO (TSH) KUTOA PESA KUTOKA EZYPESA KUTUMA KWENDA EZYPESA NA MITANDAO MINGINE (TSH)
Kutoka Kwenda Tuma Pesa kwa wateja Waliosajiliwa/Mitandao yote Tuma Pesa kwa wateja Waliosajiliwa
200 999 none 15
1,000 1,999 375 35
2,000 2,999 375 35
3,000 3,999 600 45
4,000 4,999 600 55
5,000 9,999 800 125
10,000 14,999 1,300 310
15,000 19,999 1,300 310
20,000 29,999 1,650 350
30,000 39,999 1,650 350
40,000 49,999 2,250 400
50,000 79,999 2,500 650
80,000 99,999 2,500 650
100,000 199,999 3,500 900
200,000 299,999 5,000 950
300,000 399,999 6,000 1,400
400,000 499,999 6,500 1,400
500,000 599,999 7,000 2,000
600,000 799,999 7,500 3,000
800,000 999,999 8,000 3,000
1,000,000 1,999,999 8,000 4,500
2,000,000 3,000,000 8,000 4,500
MIAMALA MINGINE ADA KWA WATEJA (TSH)
Kuweka Pesa Bure
Kujisajili Bure
Kununua Muda wa Maongezi Bure
Kubadili Namba ya siri 50
Kuangalia salio 50
Kukatisha muamala 300
Kupata taarifa za kifedha 100
Kulipia bili na huduma kupitia Ezypesa Bure