- Piga *149*15# Kisha Chagua 3
- Ezypesa Menyu (150*02# Kisha Chagua 4)
- Tembelea Wakala wa Zantel wa Mimina Aliye Karibu nawe
Zantel inatoa vifurushi maalumu vyenye dakika za bure, SMS za bure. Zantel inakupa vifurushi vyenye ushindani mkubwa vya kupiga mitandao mingine ndani ya Tanzania.
Ofa Hii inapatikana kwa Wateja wote wa Zantel Bara na Visiwani.
Jinsi ya Kujiunga
Kuwazawadia ndugu, jamaa na marafiki kifurushi hiki Piga *149*15# Kisha Chagua 6
Vifurushi vya Mpakabasi vina aina 3 za kikomo cha Muda
BEI | DAKIKA | SMS | INTANETI | MUDA WA KUDUMU | |
---|---|---|---|---|---|
TSH 500 | 25 | 20 | MB 5 | Masaa 24 | |
TSH 1,000 | 85 | 50 | MB 5 | Masaa 24 |
BEI | DAKIKA | SMS | INTANETI | MUDA WA KUDUMU | |
---|---|---|---|---|---|
TSH 2,000 | 220 | 100 | MB 50 | Siku 7 | |
TSH 10,000 | 1,850 | 100 | MB 50 | Siku 7 |
BEI | DAKIKA | SMS | INTANETI | MUDA WA KUDUMU |
---|---|---|---|---|
TSH 10,000 | 1300 | 100 | MB 100 | Siku 30 |
TSH 20,000 | 2700 | 100 | MB 100 | Siku 30 |
* Bei hazijumuishi kodi ya ongezekeo la thamani.
Matumizi ya dakika zilizotengwa ni matumizi ya mteja mwenyewe kwa hivyo mteja anaweza kumaliza bando yote kabla ya kipindi cha bando kuisha, ikitokea hivyo, muda wa hewani wa akaunti nyingine au akaunti kuu utatumika. Walakini katika tukio ambalo mteja akinunua bando jingine lenye bei na muda wa kutumika sawa na alilonunua kabla na pia kabla lile la awali halijamalizika, uhalali na muda wa bando jipya ndio utakaotumika.