- Vifurushi vya Kimataifa vinatoa Dakika kupiga simu Mataifa mbali mbali.
- Kuna namna 2 yakujiunga vifurushi vya Kimataifa.
- I. Piga *149*15# kisha chagua 5 vifurushi vya Kimataifa kujiunga.
- II. Piga *150*02# chagua 4 (Myshop) kisha 3 Vifurushi vya Kimataifa.
- Vifurushi vya Kimataifa vya siku ni sawa na saa 24.
- Vifurushi vya Kimataifa vya wiki ni sawa na saa 168.
- Vifurushi vya Kimataifa vya mwezi ni sawa na saa 720
- Bei hazijumuishi kodi ya ongezekeo la thamani.
Matumizi ya dakika zilizotengwa ni matumizi ya mteja mwenyewe kwa hivyo mteja anaweza kumaliza bando yote kabla ya kipindi cha bando kuisha, ikitokea hivyo, muda wa hewani wa akaunti nyingine au akaunti kuu utatumika. Walakini katika tukio ambalo mteja akinunua bando jingine lenye bei na muda wa kutumika sawa na alilonunua kabla na pia kabla lile la awali halijamalizika, uhalali na muda wa bando jipya ndio utakaotumika.