zantel kwenda nje ya nchi

filter_img

Zantel inatoa vifurushi maalumu vyenye dakika za bure, SMS za bure. Zantel inakupa vifurushi vyenye ushindani mkubwa vya kupiga mitandao mingine ndani ya Tanzania.

Nunua kupitia Salio la Kawaida
Piga *149*15#

Nunua kupitia Ezypesa
Piga *150*02#

nchi MUDA WA KUDUMU BEI DAKIKA
Kenya, Uganda, Rwanda, South Sudan & Ethiopia Masaa 24 TSH 3,000 3
Siku 7 TSH 7,500 7
Zambia, Zimbabwe & Malawi Masaa 24 TSH 5,000 4
Siku 7 TSH 12,500 10
UAE,Saudi Arabia,Qatar,Lebanon,Yemen, Sudan & Egypt Masaa 24 TSH 2,500 5
Siku 7 TSH 5,000 11
Oman Masaa 24 TSH 2,500 3
Siku 7 TSH 5,000 6
Pakistan, Hong Kong & Japan Masaa 24 TSH 2,500 10
Siku 7 TSH 5,000 25
China & India Masaa 24 TSH 1,000 22
Siku 7 TSH 5,000 110
Germany, Italy, France, UK Masaa 24 TSH 3,000 4
Siku 7 TSH 7,500 10
USA & Canada kila siku TSH 1,000 25
Siku 7 TSH 5,000 110
South Africa & Mauritius Masaa 24 TSH 2,500 5
Siku 7 TSH 5,000 11
Comoros Siku 7 TSH 1,000 6