loader

Bonga Packs - Zantel kwenda Zantel

filter_img

Zantel inatoa vifurushi maalumu vyenye dakika za bure, SMS za bure na intaneti ya bure. Zantel inakupa vifurushi vyenye ushindani mkubwa vya kupiga nje ya nchi, mitandao mingine pamoja na Zantel kwenda Zantel.

Vifurushi vyetu vya ndani na nje ya Nchi ni vya ushindani zaidi kwenye soko bila kipingamizi. Vifurushi vyetu vina dakika za bure, SMS za bure, na MB za bure. Piga Zantel kwenda Zantel na Mitandao mingine kwa bei nafuu na urahisi, popote uendapo.

Nunua kupitia salio
Piga *149*15#

Nunua kupitia Ezypesa
Piga *150*02#

Vifurushi vya Siku

BEI DAKIKA SMS INTANETI MUDA WA KUDUMU
499 TZS 15 50 5 MB Masaa 24
599 TZS 32 100 5 MB Masaa 24
999 TZS 65 100 5 MB Masaa 24

Vifurushi vya Wiki

BEI DAKIKA SMS INTANETI MUDA WA KUDUMU
1,999 TZS 75 300 50 MB Siku 7
3,999 TZS 200 500 50 MB Siku 7
9,999 TZS 520 500 50 MB Siku 7

VIFURUSHI VYA MWEZI

BEI DAKIKA SMS INTANETI MUDA WA KUDUMU
9,988 TZS 380 1,000 100 MB Siki 30
19,999 TZS 850 1,000 100 MB Siku 30

Bei zinajumuisha kodi ya ongezekeo la thamani.